top of page

Nchi Inazizima

Updated: Dec 23, 2023



Yuda akarudi, chukua fedha zenu huyu ni mwema,Pilato akakiri, hana kosa lakini kamuueni, kainuliwa mtupu kajeruhiwa sana, amekata roho, nchi inazizima kwa huzuni kuu.

  1. Ona damu mwili umelowana.

  2. Ona nyama madonda mwili mzima

  3. Moyo wake naoumetoboka

  4. Mate yao yamemfunika uso

  5. Meno yake kang'ata kwa uchungu

  6. Nafsi yangu imemjeruhi Yesu

  7. Dhambi zangu zimemchomoa roho

  8. Mungu wangu nionjeshe uchungu

  9. Ilinife pamoja naye Kristu

  10. Mwisho nije nikafufuke naye

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page