Nakujia ni Mwenye Dhambi
- Anonymous
- Nov 1, 2023
- 1 min read
1. Nakujia ni mwenye dhambi, nipokee kwa pendo lako x2
Yesu- nimechoka nazo dhambi (Bwana)
2.Ulikufa msalabani, ukateswa na wayahudi x2
3. Damu yako ilimwagika, kwa ajili ya dhambi zetu x2
4. Ulipaa juu mbinguni, kutuandalia makao x2

Comments