top of page

Kabila Langu

Kabila langu nimekutendea nini? au nimekusikitisha nini nijibu, nijibu Ee kabila langu

  1. Ilinipasa kukutendea nini zaidi nisikutendee kabila langu nijibu nimekupenda nimekupenda kama shamba la mizabibu

  2. Nilikulisha mana jangwani kabila langu nawe ukanipiga ukanipiga makofi ukanipiga mijiledi ukanipiga mijeledi

  3. Nilikunywesha maji ya uzima nawe ukaninywesha nyongo na siki kabila langu ukaninywesha nyongo na siki

  4. Nimekutoa Misri nimekutoa Misri nikamtosa Farao kwenye bahari ya shamu ukanitosa kwa makuhani nisulubishwe

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page