top of page

Kilio Cha Yesu

1. Yesu alilia eloi, kwa uchungu mwingi sana, pale msalabani eloi eloi, walimtesa sana Yesu.

Twahuzunika, twafedheheka, twagadhabika tunahamaki; kwa uchungu mwingi ulio kupata, kwa

2.Watu wenye dhambi, tubuni, tubuni, wacheni maovu twaomba, mwisho ni kilio, eloi eloi mtateseka siku hiyo.

3. Maria mwombezi, wa wana kwa Bwana, utufikishe kwa mwanao, tuombee sisi wanao twasali na tutasema ombi letu.


Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page