Bwana Alipokwisha Kubatizwa
- M.B Syote
- Nov 12, 2023
- 1 min read
Bwana alipokwisha kubatizwa, mbingu zikamfunukia, Roho akashuka, kwa mfano wa hua na kukaa juu yake x2
Na tazama sauti ya Baba ikanena, Huyu ni mwanangu mpendwa wangu, ninayependezwa naye x2

Comments