top of page

Mwana Wangu

Huyu ndiye Mwana wangu, ninampenda Mwana wangu, msikizeni

  1. Bwana ametamalaki dunia ishangilie, visiwa na vifurahi nchi yote.

  2. Watu wote tufurahi, tumsifu kwa furaha tukiimba nyimbo zetu. Kwa shukrani.

  3. Kwako leo tunaalikwa twendeni tufanye shangwe wokovu umetujia watu wote.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page