Bwana Alipokwisha Kubatizwa
- Anacletus Malombe
- Oct 28, 2023
- 1 min read
Updated: Dec 23, 2023
Bwana alipokwisha kubatizwa, Mbingu zilimfunikia. Na Roho akamshukia, kama hua na kukaa juu yake
1.Tazama sauti yake Baba ikasema, 'Huyu ndiye mwanangu mpendwa wangu msikie ni yeye.
2. Na tazama wingu jeusi kama moshi, ukitoka mbinguni juu ikaonekana.
3.Ubatizo wake Yesu unatuongezea, mapendo sisi sote tuliobatizwa.

Comments