top of page

Siku Ulipobatizwa

Siku ulipobatizwa ndugu yangu, ulimkana shetani (shetani) na mabaya yake yote Uliikiri imani takatifu, utamtukuza mungu (Mwenyezi) na sheria zake zote ona leo ndugu yangu, tazama, umemgeuka Yesu Mungu wako Umelivunja daraja la Yesu, umejenga la Shetani ndani yako


Umelivunja daraja lake Yesu, umemkana rafiki wa milele Shetani umemuita aje kwako atawale nyumba yako ndugu yangu


Wewe umekuwa chanzo cha maovu, umelibeba bendera la shetani Umekuwa kiberiti cha shetani, anachowashia moto wa maovu


Muogope Mungu wako, ndugu yangu, acha matendo maovu tenda mema Uishi katika Kristu ndugu yangu, kama ulivyoahidi siku

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page