Tumekuwa Mashujaa
- J. Makoye
- Nov 12, 2023
- 1 min read
Tumekuwa mashujaa wa Bwana Yesu x2 Tumekuwa mashujaa wa Bwana Yesu x2
Roho wa Mungu awe nasi siku zote atujalie paji hekima
Roho wa Mungu awe nasi siku zote atujalie paji la elimu
Roho wa Mungu awe nasi siku zote atujalie paji la utashi

Comments