Bwana Alipokwisha Kubatizwa
- Hymsco Library

- Oct 28, 2023
- 1 min read
Bwana alipokwisha kubatizwa x2, mbingu zika mfunukia na roho akashuka, kwa mfano wa hua na kukaa juu yake. ( juu yake).
Natazama sauti ya Baba, kutoka mbinguni, inasema huyu ndiye mwanagu mpendwa.
Ndiye ninayependezwa naye msikilizeni, sauti ilisikika kutoka mbinguni.

Comments