Mke Mwema
- Hymsco Library

- Nov 3, 2023
- 1 min read
Mke mwema mke mke ni nani awezae kumuona kimo chake kimo chapita kimo cha marichani (moyo wa mumewe) unamwamini wala hatakosa )-kupata mapato x2
Humtendea mema wala si mabaya siku zake sote za maishani .
Hutafuta sufu-sufu za kitani-taa yake haizimiki usiku.
Huwakunjukia maskini mikono – huwanyoshea wahitaji mikono.
Mwanamke yule amchae Bwana – na huyo ndiye atakayesikiwa
Humpa mapato ya mikono yake – na afanye kazi yake hata usiku.

Comments