top of page

Ondoka Ewe Bwana Harusi

Updated: Dec 23, 2023


Ondoka ewe bwana harusi, tembea wakuone, Ondika ewe bibi harusi, tembea kwa maringo,

Njoo kwangu nikueleze, neno moja toka moyoni mwangu.

(Nimekuchagua wewe, uwe wangu wa maisha tangu leo mimi na wewe ni kitu kimoja) x2

  1. Angalia vazi langu lilivyopambwa vizuri, (watu wanaishangilia siku ya leo) x2

  2. Sikiliza nyimbo nzuri, nderemo ngoma, vinanda (haya yote ni kwa ajili yako mimi na wewe) x2

  3. Nimekuja kwako leo uithibitishe hakika (mimi kweli ninakupenda wewe ni wangu) x2

  4. Tumeacha wale wote tumejifunga pamoja (mimi na wewe hatutenagni milele yote) x2

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page