top of page

Natazama Mawinguni

1. Natazama mawinguni, nyota kweli zanawiri, na baraka zake Mungu zinatiririka x2

Sop: Harusi

All: Tushangilieni

Sop: Harusi

All: Ni jambo la heri

Sop: Harusi

All: Tushangilieni ni jambo lenye heri) x2

2. Siku zile za upweke, sasa kweli zimekwisha, nawe umeshampata wako wa maisha x2

3. Ewe Mola twakuomba, wabariki maharusi, wape maisha marefu pia na watoto x2

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page