top of page

Mt. Yosefu

Updated: Dec 25, 2023


  1. Mchungaji hodari mpole na mnyenyekevu, mwaminifu mtiifu kwa ahadi zake Mungu kweli

  2. Uliye kinga yetu na mwamba wetu imara, tuombee tupate msamaha na rehema kweli

  3. Uliisimamia familia yako vyema, wakati wa mateso na nyakati za furaha kweli

  4. Tufundishe upendo na mfano wako bora, tukumbuke wajibu wetu kwa kanisa letu

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page