top of page

Wewe Bwana

Wewe Bwana, Wewe Bwana

Wewe Bwana nifadhili x2

1. Wewe ni Mungu wangu / Unionee huruma.

2. Wewe, Ee Bwana, u mwema / u tayari kusamehe .

3. Wewe u mwingi wa fadhili / kwa wote wakuombao.

4. Usikie sala yangu / uangalie kilio cha ombi langu.

5. Wewe ni Mungu wa rehema / wewe ni mvumilivu.

6. Uniokoe mimi mtumishi wako / ninayekutengemea

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page