top of page

Tunyunyizie MajI

Tunyunyizie maji, ee Bwana ututakase dhambi zetu


Nami nitawapa ninyi, moyo mpya


Nami nitatoa, moyo wenu wa jiwe


Nami nitawapa, moyo wa nyama


Nitatia roho yangu, ndani yenu


Nitawaendesha, katika sheria zangu


Nanyi mtakuwa, watu wangu

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page