top of page

Naam Bwana

Updated: Feb 7, 2024

Arranged By: Victor Mwadime

Naam Bwana wa mavuno, naam Bwana wa mavumo, naitikia wito wako x2

  1. Mavuno ni mengi oh!, lakini wavunaji ni wachache (wachache)

  2. Enendeni kote, mkavune hata punje msipoteze

  3. Bwana wa mavuno muombeni atawapa wavunaji

  4. Nimewapa bure hayo yote, nanyi pia mtoe pia.

  5. Mtukufu Mungu pia Mwana naye Roho mtakatiufu.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page