Twendeni Kwake Mungu
- Hymsco Library

- Oct 28, 2023
- 1 min read
Twendeni kwake Mungu (Twendenikwa Mungu), kwa shangwe na ndereme (Shangwena nderemo); Kwa kinanda na nyimbo tukamwabudu, na kayamba na ngoma tukamwabudu x 2
1. Nyumbani mwa Mungu tuingie kwa shangwe,kwa nyimbo za sifa tumwabuda.
2. Ni Mungu muumba wa mbingu na nchi, na vitu vyote vilivyomo.
3. Na kila mwenye pumzi amsifu Mungu,na kila kiumbe kimsujudie.
4. Aliyetuumba anatupenda, aliyetukomboa atupenda.
5. Ni kwa upendo wake twajazwa neema, kwa wema wake twasamehewa.

Comments