Bwana Ametamalaki
- Hymns
- Nov 17, 2023
- 1 min read
Bwana ametamalaki x2. Dunia ishangilie,
kwa furaha na vigelegele x2
Na mwanga wake umeangaza
ulimwenguni (ukatetema) – Bwana
Na watu wote wameuona utukufu wake
(kuliko nchi) – Bwana
Maana wewe ndiwe uliye tukuka sana
(kuliko vyote) – Bwana

Comments