top of page

Ndimi Mtumishi Wako

Ndimi mtumishi wako, nitafuraha kwako Bwana (mimi) Ndimi mtumishi wako, nitafuraha kwako Bwana (ndimi)


1. Nitajonjegea altare ya Mungu. Mungu wa raha ya roho yangu


2. Machoni pangu meza imepambwa, Bwana tazama adui zangu


3. Malishoni mwa majani mabichi ananitunza nikiwa naye


4. Sifa ziende kwa Baba na Mwana, na kwake Roho milele yote

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page