Twendeni Kwa Bwana
- Hymsco Library

- Oct 28, 2023
- 1 min read
Twendeni kwa Bwana x 2. kwa vigelegele
Twendeni kwa Bwana kwa shangwe na vigelegele x 2.
Bwana atuita kwa nyunba ya sala.
Bwana ni mtawala amevaa utukufu.
Tumpe shangwe mwamba wa wokovu wetu.
Mbingu zifurahi dunia ishangilie
Mashuhuda yake yanastahili imani.
Anatawala kwa haki na uaminifu

Comments