Uninyinyuzie Maji
- F.A Nyundo
- Oct 28, 2023
- 1 min read
Ee Bwana unioshe nitakate x 2
1. Uninyinyuzie maji - kwa mrashi
2. Niwe mweupe kuliko - theluji
3. Kwani wemao hauna - mipaka
4. Utuhurumie Bwana - Ee Mungu
5. Zitukuzwe nafsi tatu - za Mungu
6. Mwanzo sasa na milele – amina

Comments