top of page

Twendeni kwa Karamu

Twendeni, kwa karamu ya Bwana, Tumeitwa Twendeni, twende kumpokea

Ni mwaliko wa Bwana, Tukale mkate wa uzima x2


Tujitakase mbele ya kwenda kwa karamu hii, Tumeitwa Twendeni, twende kumpokea

Twende watakatifu, Tukale mkate wa uzima x2


Karibu kwangu Yesu, ukae kwangu daima, Tumeitwa Twendeni, twende kumpokea

Nifunze njia zako, Tukale mkate wa uzima x2


Na kwa uwezo wako imani yangu nakiri, Tumeitwa Twendeni, twende kumpokea

Ndiwe Mungu Mwokozi, Tukale mkate wa uzima x2


Usituache basi, pamoja nasi ukae, Tumeitwa Twendeni, twende kumpokea

Kwa kuwa kumekuchwa, Tukale mkate wa uzima x2


Na tufurahi mwisho pamwe na Baba milele, Tumeitwa Twendeni, twende kumpokea

Kwa umoja na Roho, Tukale mkate wa uzima x2

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page