Twendeni Tukampokee
- Anonymous
- Oct 31, 2023
- 1 min read
1. Twendeeni tukampokee, mwili wake Yesu Mwokozi, twendeeni tukanywe damu ye sawa hasa divai x2
Twendeni wote, kule mbinguni, pahali pa furaha bila huzuni nyingi, Mungu awabariki wale wenye bidii, ndio kweli watafika, nyumbani mwa Baba x2.
2. Nakufungulia, moyoni mwangu ,Mwokozi Yesu unihurumie, njia zote, unifungulie yaku kukuabudu.
3. Twa kuapia twajitolea, Yesu mwema, uwe nguvu yetu, njoo kwetu utuondolee, dhambi zetu zote x2

Comments