top of page

Tutoeni Shukrani

Tutoeni shukrani zetu, kwake Mungu wetu matendo yake kwetu sisi, kweli ni ya ajabu x2

Asante Baba asante twashukuru Baba twashukuru , twashukuru, twashukuru matendo yake kwetu sisi kweli ni ya ajabu x2

1. Kwa ukarimu wake kwetu, Baba twashukuru matendo yake kwetu, kweli ni ya ajabu x2

2. Upendo wake wa jabu, Baba twashukuru, matendo yake kwetu, kweli ni ya ajabu

3. Mipango yake kwetu sisi, Baba twashukuru matendo yake kwetu, kweli ni ya ajabu

4. Zawadi kubwa ya wokovu, Baba twashukuru, matendo yake kwetu, kweli ni ya ajabu

5. Na kwa upendo wake Kristu Baba twashukuru, matendo yake kwetu, kweli ni ya ajabu.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page