top of page

Bwana roho Zetu

Bwana roho zetu zatamani - hayo maji yenye uzima

Bwana roho zetu zina kiu tupe maji hayo ya uzima


Ee Bwana tuna kiu tunyweshe Tuna kiu ee Bwana tupe maji hayo ya uzima x2


Wewe ndiwe taa ya maisha wewe ndiwe mweza wetu

Wewe ndiwe mwanga wetu sote utatuongoza daima


Ee Bwana tunakuja daima tuko nawe Ee Bwana utatuongoza daima x2


Wewe ndiwe nguvu yetu sote wewe ndiwe mweza vyote

Tupigwapo kumbo na shetani wewe ndiwe tulizo letu


Ee Bwana tuongoze daima maishani Ee Bwana tupe nuru yako njiani x2

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page