top of page

Kuleni Mwili Wangu

Kuleni mwili wangu, kunyweni damu

yangu mtaishi milele asema Bwana x2


Mimi ndimi chakula, chakula cha uwingu - asema Bwana


Mimi ndiye kinywaji kitokacho mbinguni


Mimi ndiye uzima ushukao mbinguni


Mimi ndiye faraja itokayo mbinguni


Mimi ni njia kweli, iendayo mbinguni


Wote wajao kwangu nitawapa tulizo


Yeye ajaye kwangu atapata uzima


Kaeni ndani yangu nami nikae kwenu milele

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page