Twendeni Mezani
- Kavakule Meriack
- Nov 20, 2023
- 1 min read
Updated: Dec 21, 2023
Twendeni mezani tukale chakula, tumeandaliwa chakula cha mbingu x2
Mwili wake Bwana chakula cha mbingu- tumeandaliwa chakula cha mbingu
Damu yake Bwana kinywaji cha mbingu- tumeandaliwa chakula cha mbingu
Kila aulaye apata uzima- tumeandaliwa chakula cha mbingu
Tuulapo mwili twapata uzima- tumeandaliwa chakula cha mbingu
1 Comment
Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Kudos