Twaeni Mle Wote
- Anonymous
- Oct 31, 2023
- 1 min read
Twaeni mle wote – huu ndio mwili wangu, twaeni munywe wote – hii ndio damu yangu. (Fanyeni hivi, kwa kunikumbuka mimi x 2).
1. Yesu alitwaa mkate, akashukuru, akaumega, akawapa wafuasi wake akisema:-
2. Yesu alitwaa kikombe, akashukuru, twaeni munywe wote, hiki ni kikombe cha damu yangu.
3. Huu ndio mwili wangu, twaeni mle wote akawapa, fanyeni hivi kwa kunikumbuka mimi

Comments