top of page

Waamini wa Bwana

Updated: Nov 25, 2023



Waamini wa Bwana karibuni mezani (njoni) pake,Bwana awaalika enyi wenye moyo safi. X2

Amewaandalia (leo) karamu takatifu (njoni) mwili na damu yake, chakula safi cha roho x2


Kwanza tujitakase, nafsi zetu wenyewe, tukisha kutakata, tujongee meza yake.


Karibuni mezani, Bwana awaalika, kwenye karamu yake, enyi wenye moyo safi.


Na tule mwili wake, na tunywe damu yake, ndicho chakula bora, cha rohoni karibuni

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page