top of page

Usiku wa Raha

Usiku wa Raha, uwinguni kung'aa wachunga shambani waangazwa gizani x2 Na Neno waambiwa la Mtoto mzaliwa


Wachunga twende upesi tuje yakini tupate kuamini x2 Aliyotuelezea Mungu Mwenyezi


Wakaja haraka moyo kuwaka Mwokozi mtafuta bandani wamkuta x2 Maria na Yosefu na Mtoto Mtukufu

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page