top of page

Wachungaji Wakaenda kwa Haraka

Wachungaji wakaenda kwa haraka wakamkuta Maria na Yosefu (na yule) Mtoto mchanga amelala amelala horini


Malaika akawaambi, ninyi, msiogope nawaletea habari njema


Ya furaha kuu itakayokuwa kwa watu wote Mwokozi wenu amezaliwa


Katika mji wa Daudi, leo, amezaliwa Mwokozi ndiye Kristu Bwana

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page