top of page

Heri Mtoto Yesu

Heri, heri Mtoto Yesu Heri, heri Mtoto Yesu Heri maziwa uliyonyonya Heri na tumbo lililo kuzaa Heri maziwa uliyonyonya Heri na tumbo lililokuzaa


Yesu ni Mwana wa Mungu


Mpatanishi wetu na Mungu

Mkombozi wetu twakuungama

Tukupambeje tuweze kueneza utukufu wako

Heri heri heri twakutakia

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page