top of page

Leo Yesu Kazaliwa

Leo Yesu kazaliwa, wakristu twashangilia Habari njema kwa Wakristu, kokote washangilia Amezaliwa Mkombozi, atuokoe dhambini Mwokozi amezaliwa

Njooni tumshangilie leo amezaliwa Aliyetabiriwa Mowokozi amezaliwa Ameacha enzi yake ili aje kutuokoa x2


Malaika wa Mbinguni wanaimba aleluya Furaha kote duniani Wakristu wanashangilia Mwangaza kote duniani, Wakristu wameupata Mwokozi amezaliwa


Azaliwe ndani yetu, ndilo tumaini letu Tukimwamini Yesu Kristu, azaliwe ndani yetu Tutaupata uzima alioleta uzima Mwokozi amezaliwa

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page