top of page

Sifuni Sifuni


Sifuni sifuni Upendo wake Mungu pazeni, pazeni enyi wa ulimwengu Sifa zake bwan zifike kwa jirani hii ndiyo amani kwa wote duniani

Utabiri wa kale umetimizwa, Mungu ametujalia tulivyonenwa Dunia yote imefurahi sana Amezaliwa ndiye Mungu mwana


Imbeni imbeni Nyimbo za kushukuru Semeni, semeni tumepewa uhuru Wote yatupasa kuwa nayo furaha kuanzia sasa tujazwe uafasaha


Mbinguni, Mbinguni Wanaimba amani amani Amani iwepo duniani Kwa watu popote aliowaridhia njooni na mpate alivyowaandalia


Haya tazameni Tuimbe Hosanna jamani Jamani ametujia Bwana Heko mamajuzi kwa kumsujudia vivyi hata sisi twende kumtumikia



Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page