Mwokozi Wetu Amezaliwa
- Stanslaus Mujwahuki
- Nov 11, 2023
- 1 min read
Mwokozi wetu amezaliwa, njooni tumsifu na tumwabudu Pamoja na malaika Mbinguni, tumshangilie tuimbe aleluya
Pamoja na malaika Mbinguni, tumshangilie tuimbe aleluya
Kwa ajili yetu amezaliwa, Njooni tumsifu na tumwabudu
Amezaliwa Bethlehemu Njooni Tumsifu na tumwabudu
Ni Mungu kweli, na mtu pia Nasi wakristu tumwabudu

Comments