Mwokozi Amezaliwa
- Anonymous
- Nov 11, 2023
- 1 min read
Mwokozi amezaliwa Tufurahi tuimbe aleluya tumshangilie tufurahi (Leo) Tumwimbie, Tumwimbie nyimbo za Shangwe (Za shangwe) aleluya
Ni Mkombozi wetu sisi wanadamu, Amekuja kwetu kututoa katika utumwa wa Shetani *2
Ni siku nzuri ya wokovu tufurahi Mwokozi amezaliwa aleluya *2
Bwana wake Mungu anayeondoa dhambi za dunia Kaa nasi Yesu katika maisha leo na milele

Comments