top of page

Pangoni Humu

Pangoni humu amezaliwa mtoto Yesu Wachungaji njooni tumwabudie mtoto Yesu Malaika (wote) wanaimba - Utukufu kwa Mungu juu mbinguni Na amani (pote) duniani Kwa watu wote wenye mapenzi mema


Mtoto Yesu amezaliwa, pangoni Bethlehemu


Wachungaji wamefika, kumwona Mtoto Yesu


Malaika mbinguni wanaimba, wakimsifu Mwokozi


Nasi twende na zawadi zetu, Masiha kazaliwa

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page