Mbingu zimenena
- Benard Mukasa
- Nov 11, 2023
- 1 min read
Updated: Dec 23, 2023
Mbingu zimenena leo x2 Na mawingu mawingu oh oh yakammwaga Mawingu yakammwaga mwenye hadhi
Uu uu [uu] nchi ikakombolewa Uu uu [uu] Dunia ikatakata Uu uu [uu] Mwenyezi akatukuka Uu uu [uu] nasi tunakuimbia
[Naye neno ooh] naye neno Alifanyika mwili akakaa kwetu [Nasi tukauona utu-] Nasi tukauona Utukufu wa Mungu io io io utukufu wa Mungu
Ulimwengu wa raha leo Ulimwengu wa raha unashangilia Nazo mbi-ingu nazo mbingu nazo Mbingu zatabasamu, {zinarukaruka [zina] x2) Zina rukaruka kwa shangilio

Comments