top of page

Tuliona nyota

Tuliona nyota ikitoka Mashariki [s/t: Nasi] tumekuja kumsujudia Bwana

Nao waliofikiwa na habari hii walifurahia na kusema

Mamajuzi walikwenda kumwona mkombozi walifurahia na kusema ikitoka Mashariki

(Nasi) tumekuja kumsujudia Bwana

Nao waliofikiwa na habari hii walifurahia na kusema

Mamajuzi walikwenda kumwona mkombozi walifurahia na kusema

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page