Tuliona Nyota Yake
- Lukando A. Basil
- Nov 11, 2023
- 1 min read
Tuliona nyota (tuliona nyota) yake (kule) mashariki Na tumekuja na zawadi kumsujudia Bwana
Yesu Kristu alipozwaliwa Bethlehemu ya Uyahudi Tazama mamajuzi wale wa mashariki Ni zamani za yule mfalme anayeitwa Herode Wafika Yerusaleme nao wakisema
Yuko wapi aliyezaliwa mfalme wa wayahudi? Kwa maana sisi tuliona nyota yake mashariki. Nasi tumekuja kumsujudia, Herode kusikia, anafadhaika.

Comments