Mwana wa Mungu Amezaliwa
- Fr. D. Ntampambata
- Nov 11, 2023
- 1 min read
Mwana wa Mungu (Mwana wa Mungu) amezaliwa (amezaliwa) Yeye ni Mungu (Yeye Mungu) tukamwabudu
Mwana wa Mungu kashuka kwetu Yeye ni Mungu tukamwabudu
Kitoto Yesu yuko pangoni Yeye ni Mungu tukamwabudu
Haya twendeni pale alipo Yeye ni Mungu tukamwabudu

Comments