Mpokee Mtumishi Wako
- Alfred Osonga
- Oct 15, 2023
- 1 min read
Updated: Dec 23, 2023
Ee Mungu Baba Mwenyezi tuko hapa mbele zako, Tunakulilia Baba utusikilize) x2
Usiyakumbuke Baba makosa aliyotenda, umsamehe makosa ya ujana wake x2
Fariji roho za wote wanaohuzunika, uwape matumaini uwape tulizo x2
Ee Bwana ungehesabu, makosa ya wanadamu, ni nani angesimama mbele yako wewe x2
Ee Mungu mwenye rehema kumbuka rehema zako, maana zimekuwapo tokea zamani x2

Comments