Binadamu Ni Mavumbi
- Anonymous
- Nov 12, 2023
- 1 min read
Binadamu, binadamu ni mavumbi Mavumbini - mavumbini atarudi
Na tukifika - huko tutaimba aleluya Makao - makaoni ya raha, ya raha (na starehe) Yako huko Mbinguni
Mwili wake - Mwili wake hukauka Hukauka - kama ua la bondeni

Comments