Tufurahi Sote Katika Bwana
- Anonymous
- Nov 1, 2023
- 1 min read
Updated: Nov 18, 2023
Tufurahi sote katika Bwana, Tunapoadhimisha Sikukuu kuu, kwa heshima ya Bikira Maria (x2)
Malaika wanafurahia mataifa wakovu wake, Bwana amewafunulia, aleluya
Bwana amewafunulia mataifa wokovu wake, ameidhirisha haki yake, aleluya.
Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, kama mwanzo sasa na siku zote, aleluya.

Comments