top of page

Mama Mwema

Wewe ni mama mwema mama Maria (Mama yetu) Maria mtakatifu utuombee (Kwake mungu) Sisi Wana wa dunia twakukimbilia (Mama yetu) Maria mtakatifu utuombee (Maria mtakatifu mama wa mungu uliye juu kwa maombezi yako sala zetu zifike juu (Mbinguni) Maria Mtakatifu utuombee) ×2

  1. Mama wa Kristo yesu mama wa kanisa Mama wa huruma utuombee Mama wa neema ya Mungu mtakatifu sana Mama wa huruma utuombee

  2. Mwenye usafi wa moyo usiye na ndoa mama wa huruma utuombee Mama usiye na dhambi Mama mpendelevu Mama wa huruma utuombee

  3. Ni mama mstajabivu wa shauri njema Mama wa huruma utuombee ni mama wa muumba mama wa mkombozi Mama wa huruma utuombee

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page