top of page

Bikira Maria Uliyekingiwa

Bikira Maria uliyekingiwa dhambi ya asili (ee mama) (utuombee (sisi) kwa mwanao (mpenzi) Yesu Kristu aliye mbinguni) x2


Dhambi ya asili hukuipata, ili uzae mwana wa Mungu.


Wewe wasifiwa ulimwenguni, na malaika wanakusifu.


Kichwa cha shetani wakikanyanga, wewe ni mshindi wa hila zake.


Utusaidie katika shida, usituache tuangamie.


Uisimamie safari yetu, ya kwenda kwake Mungu mbinguni.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page