top of page

Salamu Maria

Salamu Maria salamu, salamu Bikira Mama Maria, Mama wa Mkombozi, Mama Maria, umejaa neema nyingi.

  1. Utusaidie ee Mama, tuweze kufika kwako.

  2. Uwatulize wenye shida, waweze kupata raha.

  3. Maishani utuongoze, tuepukane na dhambi

  4. Tuombe kwa Mungu Baba, nasi tufike mbinguni

  5. Uwalinde na vongozi, waenezao neno la Bwana.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page