Nitaweka Uadui
- Anonymous
- Nov 1, 2023
- 1 min read
Nitaweka uadui kati yako wewe, kati yako wewe (kati yako wewe na huyo mwanamke x2
1. Ewe Mungu Baba uliyetuleta, uliyetuletea ukombozi.
2. Ewe Mungu Baba uliyetuondoa, uliyetuondoa utumwani.
3. Ewe Mungu Baba unayetungojea, unayetungojea mbinguni.

Comments