Mama Yetu Maria
- Anonymous
- Nov 18, 2023
- 1 min read
Mama yetu Maria, mama twakushangilia
Ni wewe mama yetu, tunayetegemea
Wewe umejaa neema tunakushangilia -
Maria mtakatifu tunakushangilia -
Mzao wa tumbo lako tunakushangilia -
Utuombee sisi tunakushangilia -

Comments